"Askari Walio Umia Tu Ndio Huhudumu"
Kutoka Gospel Translations Swahili
(Created page with '{{info|"Only Wounded Soldiers Can Serve"}} Hi May, Here is the page for your translation. Please delete my note, but leave the code at the top of the box. Thank you so much!!...') |
|||
(Hatuonyeshi masahihisho 3 ya katikati.) | |||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
{{info|"Only Wounded Soldiers Can Serve"}} | {{info|"Only Wounded Soldiers Can Serve"}} | ||
- | + | Wengine wenu mnapitia vitu wakati huu ambavyo ni vichungu ili kuwatayarisha kwa utumishi bora wa Bwana. Mtu afikapo mwisho hata kuhisi ni kama amegonga mwamba, wakati mwingine huwa ameugonga Mwamba Imara. | |
- | + | Nakumbuka mstari mmoja kutoka Zaburi 138:8 ambayo tulisoma Jumamosi katika ibada yetu ya asubuhi inayosema “Ee BWANA, upendo wako wadumu milele, usiziache kazi za mikono yako.” Naam, hata Musa anavyosema katika Kumbukumbu za Torati 33:27 “27Mungu wa milele ni kimbilio lako,na chini kuna mikono ya milele.” | |
- | + | Ndio, Yeye anakuona hata unapotetemeka na kuteleza. Ana uwezo (na mara nyingi amefanya hivo) wa kukushika kabla ya kuanguka kwako. Lakini wakati huu ana mafunzo mapya. Zaburi 119:71 yasema, “Ilikuwa vyema mimi kupata shida ili nipate kujifunza amri zako.” Hatuambiwi kuwa shida hizo zilikuwa rahisi au raha bali. “Ilikuwa vyema.” | |
- | + | Wiki jana nilikuwa nikisoma kitabu kilichoandikwa na James Stewart ambaye ni mhubiri kutoka Uskoti. James alisema katika utumishi wa upendo, ni askari walioumia tu ndio huhudumu. Ni kwa sababu hii na amini wengine wenu mnatayarishwa kwa huduma hii. Unapoumia usije ukafikiri kuwa maumivu yako yamekujia kinyume na mpango wa Mungu. Tena katika kumbukumbu la torati 32:29 asema. “Hakuna Mungu mwingine ila Mimi…..Mimi nimejeruhi na Mimi nitaponya.” | |
- | + | Nawaombea ninyi nyote mlio na maumivu. Zaidi ya hayo nangoja kwa hamu wororo upya wa Upendo mtakao funzwa katika maumivu haya. |
Toleo lililopo 22:55, 5 Oktoba 2009
By John Piper
About Loving Others
Part of the series Taste & See
Translation by May Adhiambo
You can help us improve by reviewing this translation for accuracy. Learn more (English).
Wengine wenu mnapitia vitu wakati huu ambavyo ni vichungu ili kuwatayarisha kwa utumishi bora wa Bwana. Mtu afikapo mwisho hata kuhisi ni kama amegonga mwamba, wakati mwingine huwa ameugonga Mwamba Imara.
Nakumbuka mstari mmoja kutoka Zaburi 138:8 ambayo tulisoma Jumamosi katika ibada yetu ya asubuhi inayosema “Ee BWANA, upendo wako wadumu milele, usiziache kazi za mikono yako.” Naam, hata Musa anavyosema katika Kumbukumbu za Torati 33:27 “27Mungu wa milele ni kimbilio lako,na chini kuna mikono ya milele.”
Ndio, Yeye anakuona hata unapotetemeka na kuteleza. Ana uwezo (na mara nyingi amefanya hivo) wa kukushika kabla ya kuanguka kwako. Lakini wakati huu ana mafunzo mapya. Zaburi 119:71 yasema, “Ilikuwa vyema mimi kupata shida ili nipate kujifunza amri zako.” Hatuambiwi kuwa shida hizo zilikuwa rahisi au raha bali. “Ilikuwa vyema.”
Wiki jana nilikuwa nikisoma kitabu kilichoandikwa na James Stewart ambaye ni mhubiri kutoka Uskoti. James alisema katika utumishi wa upendo, ni askari walioumia tu ndio huhudumu. Ni kwa sababu hii na amini wengine wenu mnatayarishwa kwa huduma hii. Unapoumia usije ukafikiri kuwa maumivu yako yamekujia kinyume na mpango wa Mungu. Tena katika kumbukumbu la torati 32:29 asema. “Hakuna Mungu mwingine ila Mimi…..Mimi nimejeruhi na Mimi nitaponya.”
Nawaombea ninyi nyote mlio na maumivu. Zaidi ya hayo nangoja kwa hamu wororo upya wa Upendo mtakao funzwa katika maumivu haya.