Injili kwa dakika Sita

Kutoka Gospel Translations Swahili

Related resources
More By John Piper
Author Index
More About The Gospel
Topic Index
About this resource
English: The Gospel in 6 Minutes

© Desiring God

Share this
Our Mission
This resource is published by Gospel Translations, an online ministry that exists to make gospel-centered books and articles available for free in every nation and language.

Learn more (English).
How You Can Help
If you speak English well, you can volunteer with us as a translator.

Learn more (English).

By John Piper About The Gospel

Translation by Kelvin Odhiambo

Review You can help us improve by reviewing this translation for accuracy. Learn more (English).



Yaliyomo

Injili nini?

Injili nini? Nitaieleza kwa sentensi.

Injili ni habari kwamba Yesu Kristo, Haki, alikufa kwa ajili ya dhambi zetu na kufufuka tena, akawa na ushindi wa milele kati ya maadui wake wote, ili kusiwe na hukumu kwa wale walio amini bali wewe na furaha ya milele.

Hiyo ndio injili.

Huwezi tosheka na Injili

Kamwe, kamwe, kamwe huwezi tosheka na Injili. Usiwahifikiri Injili, kama, ni njia ya kupata kuokolewa, na kisha kuachana na Injili na bado kupata nguvu ya wokovu kwa kuicha na kufanya kitu kingine."

Hapana! Sisi tunapata nguvu kwa Mungu kwa njia ya Injili kila siku, hadi siku ya kufa.

Kamwe hutosheki na haja ya kuhubiri Injili kwako mwenyewe.

Jinsi Injili inapeana Nguvu

Huu ni mfano, Sio kwamba ni jambo la kubwa kuongea kuhusu maisha yangu, bali ni kwa sababu niliyashuhudia maisha yangu mwaka uliopita na nguvu ya injili ikanipa nguvu.(Wengine wenyu mna kumbwa na majanga makubwa kama vile saratani ya kibofu au mengine makubwa zaidi.)

Unakumbuka mistari niliyotumia awali mnamo Februari ambao ulikuwa mgumu kwangu ?Ulikuwa katika huo wakati daktari alisema , "Nadhani tunahitaji kufanya uchunguzi zaidi," Mara tu nilianza kuwa na hofu. Kwa bahati nzuri haikudumu kwa muda mrefu,

Na kisha ikaja-nini? 1 Wathesalonike 5:9-10. Ni kama Injili safi unawezayo pata.

Mungu hajakupangia ghahabu yake, bali upate wokovu, kupitia Yesu Kristo, ambaye alikufa kwa ajili yako ili kama uko macho au unalala uishi naye.

Tulia. Kama mto mtulivu.

Injili ni kamilifu kwa mahitaji yako

Hiyo ni Injili kamilifu wakati muafaka, kutumika kikamilifu, inafaa kikamilifu katika mahitaji yangu.Hiyo ndio sababu Biblia ni nene-kwani mahitaji ni mengi mno.Na kuna mahali kwingineko ambapo injili inafunuliwa kwa ajili yako, ili kana kwamba utasoma kitabu chote, kwa jicho ile Kristo amekuundia na kukununulia kwa huu muktadha,historia ya Mungu na uhusiano na binadamu,atakukabidhia mahitaji yako yote.

Basi, kila kitu ndani yangu kinasema, nami natumaini kusema hata siku ya kufa kwangu, "Sasa, Aliye na uwezo wa kuniimarisha mimi, kadiri ya Injili ya Paulo, kwa yeye-kwa Mungu-kuwa na utukufu milele na milele."

Mungu alikuja katika historia kama Yesu Kristo, Alikufa ili kuharibu nguvu ya kifo na kuzimu na shetani na dhambi, na alifanya hivyo kwa njia ya Habari Njema ya Yesu Kristo.

Ombi uweze kuamini

Najua kuwa kuna watu wasoma hii ambao hawajamwamini Yesu Kristo, na kwa hivyo wanaweza tarajia hukumu.Kwahivyo nitawasihi nikimalizia,kutoasi.Achana na kutoasi na kubaliana na injili ya Yesu Kristo, Mwana wa Mungu,Aliye Haki, Aliyekufa kwa ajili ya dhambi zako. Alifufuka siku ya tatu, kushinda maadui wake wote.Anatawala hadi maadui wake waje chini ya miguuni pake.Msamaha wa dhambi na msimamo sawa na Mungu huja kutokana ila na Yeye, kwa imani pekee.

Nakusihi, wala usijaribu kwa nguvu yako binafsi ; Haitakuwa unaihitaji.Nguvu moja tu ndio itakuwepo-nguvu ambayo Mungu anatupa kulingana na Injili.

Usipuuze


[Hii nakala ni dondoo ya kuskizwa.Imenukuliwa kwa uhubiri, “God Strengthens Us by the Gospel.” ("Mungu Hutupa nguvu kwa Injili")]