Je, Kwa Nini Kristo Alikufa Msalabani?

Kutoka Gospel Translations Swahili

Related resources
More By John Piper
Author Index
More About The Death of Christ
Topic Index
About this resource
English: Fifty Reasons Why Jesus Came to Die

© Desiring God

Share this
Our Mission
This resource is published by Gospel Translations, an online ministry that exists to make gospel-centered books and articles available for free in every nation and language.

Learn more (English).
How You Can Help
If you speak English well, you can volunteer with us as a translator.

Learn more (English).

By John Piper About The Death of Christ

Translation by Desiring God

Table of contents

Introduction: The Christ, the Crucifixion, and the Concentration Camps
 1. Kristo alikufa kuondoa ghadhabu ya Mungu
 2. Kristo alikufa amfurahishe Mungu Baba
 3. Kristo alikufa kujifunza kutii na kukamilishwa
 4. Kristo alikufa aweze kupata kufufuka kwake kutoka kwa wafu
 5. Kristo alikufa kuonyesha upendo na neema ya Mungu kwa watenda dhambi
 6. Kristo alikufa kuonyesha upendo wake kwetu
 7. Kristo alikufa ili atimize kile sheria ya Musa ilihitaji kwetu
 8. Kristo alikufa ili awe fidia ya wengi
 9. Kristo alikufa ili tusamehewe dhambi zetu
 10. Kristo alikufa ili tuhesabiwe haki
 11. Kristo alikufa ili amalize kutii sheria ili watu wake wawe wenye haki
 12. Kristo alikufa ili aondoe hukumu yetu
 13. Kristo alikufa ili aonyeshe kwamba kutahiriwa na kanuni zingine zote siyo njia ya wokovu
 14. Kristo alikufa ili atuokoe na atulinde tuwe waaminifu
 15. Kristo alikufa ili atufanye watakatifu, bila lawama na wakamilifu
 16. Kristo alikufa ili atusafishe dhamira zetu
 17. Kristo alikufa ili atupatie kila kitu ambacho ni kizuri kwetu
 18. Kristo alikufa ili atuponye kutokana na ugonjwa wa dhambi na ule wa kawaida
 19. Kristo alikufa ili awapatie uzima wa milele wote ambao wanamwamini
 20. Kristo alikufa ili atuokoe na dunia hii mbovu
 21. Kristo alikufa ili atupatanishe na Mungu
 22. Kristo alikufa ili atulete kwa Mungu
 23. Kristo alikufa ili tuwe mali yake
 24. Kristo alikufa ili tuweze kuwa na ujasiri wa kuja kwa Mungu
 25. Kristo alikufa ili awe kwetu mahali ambapo tunakutana na Mungu
 26. Kristo alikufa ili ukuhani wa Agano la Kale ukomeshwe na Yeye awe Kuhani wa milele
 27. Kristo alikufa ili awe kuhani mwenye huruma na mwenye usaidizi
 28. Kristo alikufa kutukomboa kutokana na mwenendo wa mababu wetu
 29. Kristo alikufa kutuondoa kwa utumwa wa dhambi
 30. Kristo alikufa ili tuweze kufa kwa dhambi na tuishi kwa utakatifu
 31. Kristo alikufa ili tukufe kwa Sheria na tuzae matunda kwa Mungu
 32. Kristo alikufa ili atuwezeshe kuishi kwa ajili Yake bali siyo kwa ajili yetu
 33. Kristo alikufa ili msalaba wake uwe majivuno yetu
 34. Kristo alikufa kutuwezesha kuishi kwa imani ndani Yake
 35. Kristo alikufa kupatia ndoa maana yake halali
 36. Kristo alikufa kukomboa watu ambao wako na hamu ya kufanya kazi ya Mungu
 37. Kristo alikufa kutuita tufuate mfano wake wa upole na upendo wenye gharama kubwa sana
 38. Kristo alikufa kuumba jamii moja ya wafuasi ambao wanajitolea kwake
 39. Kristo alikufa kutukomboa kutoka kwa uoga wa kifo
 40. Kristo alikufa ili tuweze kuwa naye baada ya kufa kwetu
 41. Kristo alikufa kuhakikisha kufufuka kwetu kutokak wa wafu
 42. Kristo alikufa kuzivua enzi na mamlaka
 43. Kristo alikufa ili aachilie nguvu za Mungu katika injili
 44. Kristo alikufa kuharibu uadui kati ya makabila za ulimwengu
 45. Kristo alikufa kuwa fidia ya watu kutoka kila kabila, rangi na taifa
 46. Kristo alikufa kukusanya kondoo wake kutoka kwa kila pembe la ulimwengu
 47. Kristo alikufa ili atuondoe katika hukumu wa mwisho
 48. Kristo alikufa kupata furaha yake na yetu
 49. Kristo alikufa ili aweze kuvikwa taji la utukufu na heshima
 50. Kristo alikufa kuonyesha kwamba uovu mbaya sana umekusudiwa na Mungu kwa manufaa ya watu wake
A Prayer
Resources from Desiring God Ministries